Tag Archives: shirika la maendeleo ya petrol

TPDC Yaokoa Trilioni12.7 Kuagiza Mafuta Nje Ya Nchi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kukoa kiasi cha Tsh. Trilioni 12.7 kwa kutumia gesi asilia katika kuzalisha umeme badala ya kutumia fedha za kigeni kuagiza mafuta. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa Desemba 13, 2019) Jijini …

Read More »