Tag Archives: shinyanga

SHINYANGA:Wawili mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miaka 6.

WAKATI Mkoa wa Shinyanga ukizindua mpango mkakati wa kipekee wa miaka mitano (2020-2025) wa kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake, ukiwa ni mkoa wa kwanza nchini kuja na mpango huo, vitendo hivyo vimeendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Ambapo Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linawashikilia vijana …

Read More »

SHINYANGA: Lori la mafuta lagonga mti na kujeruhi wawili.

Watu wawili wamejeruhiwa baada ya Lori la mafuta gari lenye namba za usajili T674 BAA aina Tanker lenye tela lenye namba za usajili T260 BLA kugonga mti na kupinduka katika eneo la Ugweto kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga barabara kuu ya kutoka Shinyanga kwenda Mwanza. Akizungumza na Waandishi wa …

Read More »

Serikali Mkoani Shinyanga yaja na mkakati wa kukomesha fisi.

KUTOKANA na kukithiri kwa matukio ya Fisi kushambulia wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga hususan watoto wadogo, serikali imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kufuatilia na kuwasaka fisi hao ambao katika siku za hivi karibuni wamekuwa wakiwasumbua wakazi wa manispaa hiyo. Kwa takribani miezi sita sasa, kumekuwepo na matukio …

Read More »

Kampuni ya Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Ltd yatoa msaada wa vifaa vya kujikinga na Corona katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.

Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hansons Choice imekabidhi msaada wa kifaa cha kisasa cha kunawia mikono bila kugusa koki na vifaa vya kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona vyenye thamani vya shilingi Milioni 8 katika hospitali …

Read More »

Wadada Wanaouza miili yao Machimboni Shinyanga wapewa semina.

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akiongozana na madiwani 11 wanawake wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wamekutana na wanawake na mabinti wanaoishi katika kata ya Mwakitolyo ili kuzungumza nao namna ya kukomesha vitendo vya baadhi ya mabinti wenye umri kuanzia miaka 12 na wanawake …

Read More »