Tag Archives: Serikali Yazindua Kichwa Kimoja Cha Treni Ambacho Ni Miongoni Mwa Vichwa Saba Vilivyozinduliwa Na Kugharimu Tsh.bilioni13

Serikali Yazindua Kichwa Kimoja Cha Treni Ambacho Ni Miongoni Mwa Vichwa Saba Vilivyozinduliwa Na Kugharimu Tsh.bilioni13

SERIKALI ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Raisi Dk. John Magufuli imeendelea kutimiza yale ambayo ilidhamiria kuyakamilisha kama ahadi kutoka katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa kuboresha miundombinu katika sekta mbalimbali hapa nchini. Katika kufanikisha hayo Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imefanya maboresho ya kimiundombinu kupitia …

Read More »