Tag Archives: Serikali Yatumia Sh. 6 Bn/- Miradi Ya Maji Mkalama

Serikali Yatumia Sh. 6 Bn/- Miradi Ya Maji Mkalama

SERIKALI imetumia zaidi ya sh. bilioni 6.318 kwa ajili ya ujenzi wa miradi kwenye vijiji mbalimbali vya wilaya ya Mkalama, mkoani Singida ili kuwaondolea adha ya maji safi wananchi wake. Hayo yamesemwa jana (Jumanne, Septemba 15, 2020) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha …

Read More »