Tag Archives: Serikali Yakutana Na Wazalishaji Wa Saruji Nchini

Serikali Yakutana Na Wazalishaji Wa Saruji Nchini

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki wamefanya kikao cha pamoja na wazalishaji wa saruji nchini kwa lengo la kujadili fursa mbalimbali, changamoto na namna bora ya kukuza sekta ya ujenzi nchini kupitia saruji, kikao kilichofanyika …

Read More »