Tag Archives: Serikali kuwachukulia hatua kali wanaopandisha bei ya saruji

Serikali kuwachukulia hatua kali wanaopandisha bei ya saruji

Serikali imesema itawachukulia hatua kali za kisheria, ikiwemo kuwanyang’anya leseni wale wote watakaobainika kuuza saruji kwa bei ya juu. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, mara baada ya kutembelea viwanda vya Saruji vilivyopo jijini Tanga na kukuta uzalishaji ukiendelea. Amesema bei ya kiwandani ni kati …

Read More »