Tag Archives: Sekta ya mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa uchumi Tanzania

Sekta ya mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa uchumi Tanzania

Kwa miaka kadhaa sasa uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea. Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi mazingira ya biashara kwa ujumla na kuziimarisha …

Read More »