Tag Archives: samatta

Mbwana Samatta Atisha, Awabwaga Cavan Na Lewandowski

Mshambuliaji wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, Mbwana Samatta ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wametembelewa zaidi kwenye mtandao wa Transfer Marketing wakati wa dirisha la usajili wa majira ya Joto. Kwa mujibu wa transfermarket, Samatta ametinga tatu (3) bora kwenye Orodha hiyo inayoongozwa na mbabe wa …

Read More »

Mbwana Samatta ajiunga na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki

Mshambuliaji wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa. Klabu hiyo imeandika katika mtandao wake kwamba imemuongeza nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania katika kikosi chake kwa mkataba wa miaka minne. Mchezaji huyo aliyeshinda taji …

Read More »