Tag Archives: Samata

Mrithi wa Samatta KRC Genk huyu hapa kutoka Tanzania.

MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, anajiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, alikuwa akiichezea kabla ya kujiunga na Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Kelvin ambaye pia anaichezea timu ya vijana chini ya miaka …

Read More »