Tag Archives: rwakatale

Rais Magufuli amlilia Mama Rwakatare

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto kufuatia kifo cha Mhe. Askofu Getrude Rwakatare kilichotokea leo tarehe 20 Aprili, 2020 Jijini Dar es Salaam. Katika salamu hizo, Rais Magufuli ameelezea kusikitishwa …

Read More »