Tag Archives: ruangwa

Waziri Mkuu: Takukuru Kamilisheni Uchunguzi Mapema

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ukamilishe mapema uchunguzi dhidi ya madudu yaliyoibuliwa katika mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 na wizi uliofanywa na viongozi wa AMCOS kwa wakulima wa ufuta na korosho ikiwemo wilaya ya Ruangwa. Ameyasema hayo leo wakati …

Read More »

Waziri Mkuu Mahakama Kamilisheni Ujenzi Wa Miundombinu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa uongozi wa Mahakama nchini uhakikishe unakamilisha ujenzi wa miundombinu ya Mahakama ili kuwapunguzia wananchi adha ya kutembea umbali mrefu na kutumia gharama kubwa katika kutafuta haki zao. Amesema kuna wilaya 139 Tanzania Bara, kati ya wilaya hizo wilaya 111 zilizo na huduma ya …

Read More »