Tag Archives: Roy Keane amtabiria Solskjaer kufukuzwa Man United

Roy Keane amtabiria Solskjaer kufukuzwa Man United

Kiungo wa zamani wa Man United ambaye anafanya kazi ya uchambuzi wa soka Sky Sports Roy Keane baada ya Man United kufungwa 1-0 na Arsenal katika uwanja wa Old Trafford ametabiria kocha Ole Gunnar Solskjaer kufukuzwa. Keane ameeleza kwa wachezaji waliopo Man United Solskjaer akiendelea kuwa nao atafukuzwa kwa sababu …

Read More »