Tag Archives: Ronaldinho

Paraguay:Ronaldinho Aachiliwa Huru.

Ronaldinho Gaucho ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti ya kugushi. Staa huyo wa zamani wa vilabu vya PSG, Barcelona na hata AC Milan, alikuwa anashikiliwa na mamlaka¬† za usalama za Paraguay pamoja na kaka yake ,Roberto de Asas ambaye anatambulika kama meneja wa …

Read More »