Tag Archives: risasi

Watu 8 Wauawa kwa Risasi Ujerumani

Mwanaume mmoja nchini Ujerumani amewaua kwa risasi watu wanane waliokuwa katika klabu mbili tofauti za shisha. Matukio hayo yalitokea usiku wa kuamkia jana katika mji wa Hanau ulipo katika Jimbo la Hessen, Mashariki mwa jiji la Frankfurt. Aidha, katika matukio hayo mwanaume huyo pia aliwajeruhi watu wengine watano. Polisi nchini …

Read More »