WAZIRI wa Nishati Dk. Medard Kalemani, amesema uamuzi wa serikali kuzuia uingizwaji wa nguzo za umeme kutoka nje ya nchi na kuruhusu ujenzi wa viwanda vya kuzalisha nguzo hizo nchini umesaidia pakubwa kwa serikali kufikisha huduma ya umeme kwa wananchi wengi hasa walioko vijijini. Waziri Kalemani, amesema hayo wakati akizindua …
Read More »Tag Archives: REA
Dk Kalemani : “Marufuku Nyumba Za Tembe na zilizoezekwa kwa Nyasi Kutowekwa Umeme “
Serikali imesema itachukua hatua kali za kisheria kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA katika maeneo mbalimbali hapa nchini watakaobainika kuzibagua nyumba za tembe na zilizoezekwa kwa majani kwa kukataa kuzipatia nishati ya umeme nyumba hizo licha ya wamiliki wake kulipia gharama za huduma hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa …
Read More »Bodi ya rea yampa siku 14 mkandarasi wa umeme mkoani simiyu kujirekebisha
Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imempa siku 14 mkandarasi wa umeme vijijini mkoani Simiyu kuongeza kasi ya usambazaji umeme katika vijiji alivyopangiwa la sivyo Bodi hiyo haitasita kuchukua hatua mbalimbali za kimkataba ikiwemo ya kusitisha mkataba. Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Wakili Julius Kalolo alisema hayo tarehe 16 …
Read More »Mkandarasi wa Umeme wa REA Ushetu Kahama,Atajwa na madiwani kuwauzia wananchi nguzo za umeme.
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga limeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa baadhi ya wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme (REA) ambao wanawatoza wananchi fedha ili kulipia gharama za nguzo na mita kinyume na maagizo ya serikali. Wakizungumza katika kikao cha baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo, Tabu …
Read More »