Tag Archives: RC TELACK AONYA WANAOPANGA KUFANYA VURUGU SIKU YA UCHAGUZI… ‘PIGA KURA RUDI NYUMBANI..ACHANA NA HABARI ZA KULINDA KURA’

RC TELACK AONYA WANAOPANGA KUFANYA VURUGU SIKU YA UCHAGUZI… ‘PIGA KURA RUDI NYUMBANI..ACHANA NA HABARI ZA KULINDA KURA’

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack amesema serikali imejipanga vizuri kuhakikisha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28,2020 unakuwa salama huku akiwaonya baadhi ya watu wanaopanga kufanya vurugu kuachana na mipango hiyo. Telack ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Shinyanga ameyasema hayo leo Jumamosi Oktoba …

Read More »