Tag Archives: Rais wa Uturuki ampokea Waziri Mkuu wa Libya

Rais wa Uturuki ampokea Waziri Mkuu wa Libya

Baada ya mapokezi hayo, viongozi hao walifanya mkutano uliodumu saa moja, katika jumba la Vahdettin Köşkü lililoko mjini Istanbul. Baadaye kulifanyika mkutano baina ya wajumbe wanaowalikisha serikali za pande zote mbili. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mawasiliano, viongozi hao walijadili uhusiano kati ya nchi mbili husika, na maendeleo …

Read More »