Tag Archives: Rais wa Syria Assad na mkewe wawekewa vikwazo na Marekani

Rais wa Syria Assad na mkewe wawekewa vikwazo na Marekani

Marekani imewawekea vikwazo watu na makampuni 39 akiwemo Rais wa Syria, Bashar al-Assad na mkewe Asma vya kuzuia mapato ya serikali yake katika jitihada ya kuishinikiza Syria kurejea katika mazungumzo yanayoongozwa na Umoja wa Mataifa. Akitangaza uamuzi huo, Waziri wa Mambo ya Nchi za Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo amesema …

Read More »