Tag Archives: Rais wa DRC ataka mataifa masikini kusamehewa mzigo wa madeni

Rais wa DRC ataka mataifa masikini kusamehewa mzigo wa madeni

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameomba mataifa tajiri kutoa msamaha wa madeni kwa mataifa masikini yanayoendelea kupambana na janga la Corona. Tshisekedi amesema hatua hii itasaidia mataifa hayo kama DRC, kuendeleza uchumi wake baada ya janga hili ambalo limeleta madhara makubwa ya kiuchumi katika mataifa masikini na yanayoendelea …

Read More »