Tag Archives: Rais Magufuli Atoa Ya Moyoni Kuhusu Dr Wilbrod Slaa

Rais Magufuli Atoa Ya Moyoni Kuhusu Dr Wilbrod Slaa

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,John Magufuli amefichua siri jinsi alivyomfahamu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mbunge wa Jimbo la Karatu Balozi Dkt.Willibroad Slaa kwa jinsi alivyokuwa tofauti na wapinzani wengine. Balozi Dkt.Slaa alihama Chadema wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,baada …

Read More »