Tag Archives: Rais Magufuli amempendekeza Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Rais Magufuli amempendekeza Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Rais John Magufuli amemteua tena mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.   Jina la Majaliwa limesomwa leo Alhamisi Novemba 12, 2020 bungeni mjini Dodoma na Spika Job Ndugai ili liidhinishwe na chombo hicho cha Dola. Uteuzi huo unamfanya Majaliwa kuendelea na wadhifa aliokuwa nao kuanzia mwaka …

Read More »