Tag Archives: Rais Magufuli Afanya Uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini

Rais Magufuli Afanya Uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Shukrani E. Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini. Prof. Manya pia ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Prof. Manya alikuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Tanzania. Uteuzi …

Read More »