Tag Archives: Profesa Ibrahim Lipumba Aendelea Kunadi Sera Zake

Profesa Ibrahim Lipumba Aendelea Kunadi Sera Zake

Chama cha Wananchi CUF kimeahidi kuhakikisha kinaboresha miundombinu ya makao makuu ya nchi jijini Dodoma iwapo kitapata ridhaa ya kuongoza Serikali katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu. Ahadi hiyo imetolewa na mgombea urais wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, Akijinadi katika alipokuwa akihutubia mkutano wake wa kampeni wilayani …

Read More »