Tag Archives: pombe

Wawili mbaroni kwa kuvunja na Kuiba Bia Kahama.

Wakazi wawili wa Mtaa wa Malunga wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Meshaki Joakimu (31) na Godfrey Luka (32) wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kahama kwa tuhuma ya kuvunja baa(grocery) na kuiba fedha, na thamani mbalimbali za ndani pamoja na vinjwaji  Mali ya Eliasi Mwasenga. Akisoma Shauri hilo Januari 14 mwaka …

Read More »