Tag Archives: Polisi yatoa onyo wanaotaka kuandamana

Polisi yatoa onyo wanaotaka kuandamana

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama au mfuasi, atakayefanya maandamano batili na kama kuna yeyote ambaye hakuridhika na matokeo afuate taratibu za kisheria kudai haki zao kama zipo. CP Sabas ametoa kauli hiyo hii Oktoba 31,2020, …

Read More »