Tag Archives: Pogba aomba radhi kipigo cha jana

Pogba aomba radhi kipigo cha jana

Kiungo wa Man United Paul Pogba ameomba radhi kwa wapenzi na mashabiki wa Man United kwa kitendo chake cha kucheza faulo ndani ya 18 na kusababisha penati iliyowafanya Arsenal waibuke na ushindi wa 1-0 Old Trafford. “Baada ya kiwango kizuri dhidi ya RB Leipzig tumeshindwa kufanya vizuri leo, kucheza faulo …

Read More »