Tag Archives: PINDA CCM

CCM ni mwiko kutumia fedha kugombea

Mlezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kanda ya Kati na Waziri Mkuu Mstaafu Bw. Mizengo Pinda ameitaka Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dodoma ya Chama hicho, kuhakikisha hakuna mgombea wa (CCM) anapatikana kwa kutumia fedha. “Usikubali kutumia fedha kama sehemu ya kuvuta hisia ila upigiwe kura, ni mtihani mkubwa …

Read More »