Tag Archives: papa

Papa achapisha waraka mpya “sote ni ndugu tushughulikie matatizo”

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amechapisha Waraka mpya wa Kitume, akitoa wito wa kuwepo mshikamano katika jamii ili kuweza kuyashughulikia matatizo ya ulimwengu. Katika waraka huo wa Kipapa uliopewa jina ”Fratelli Tutti”, yaani ”Sote ni Ndugu,” na kutolewa jana katika Uwanja wa Mtakatifu Peter, Vatican City umezikosoa sera …

Read More »