Tag Archives: oxfam

OXFAM YATOA VIFAA KINGA KWA WATAALAMU WA AFYA MSALALA KAHAMA

Katika jitihada za kukabiliana na Ugonjwa  unaosababishwa na virusi vya Corona  katika Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama mkoani Shinyanga Shirika la OXFAM limetoa msaada wa vifaa kinga mbalimbali vya kukinga  na maambukizi kwa wataalamu wa afya vyenye thamani ya Shilingi Milioni 29 laki  nane na mia nane. Akikabidhi vifaa hivyo …

Read More »