Tag Archives: onyo

Mkapa aonya udini, ukabila na umaskini

Dar es Salaam. Katika maisha ya Watanzania si rahisi kuona waziwazi masuala kama ya udini, ukabila na ukanda, lakini Benjamin Mkapa, ambaye ameliongoza Taifa hili kwa miaka kumi, anaona kuna dalili ya mambo hayo hatari kwa mshikamano wa nchi. Pia anaonya kuhusu umaskini, akisema ni kitu kingine kinachoweza kuiingiza nchi …

Read More »