Tag Archives: ongezeko

Ongezeko la watu halina athari kiuchumi na kijamii

Serikali imesema kuwa ongezeko la watu nchi halina athari za kiuchumi na kijamii kwa kuwa Tanzania ina rasilimali za kutosha kuhudumia idadi hiyo kutokana na sera yake ya ujenzi wa uchumi wa viwanda. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa …

Read More »