Tag Archives: noti bandia

Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kupatikana na noti bandia Pamoja na vifaa vya kutengenezea noti hizo. Ni kwamba mnamo tarehe 11.04.2020 majira ya saa 00:30 usiku huko eneo la Sokoni, Kata ya Kyela Kati, Tarafa ya Unyakyusa, Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya. …

Read More »