Tag Archives: Ninaendelea vizuri namshukuru mungu kwa kutuponya- Zitto Kabwe

Ninaendelea vizuri namshukuru mungu kwa kutuponya- Zitto Kabwe

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT-wazalendo, Zitto Kabwe aliyehusika katika ajali ya barabarani siku ya Jumanne akiwa na wenzake wanne amesema anaendelea kupata nafuu. Kupitia ujumbe alioandika kwenye mtandao wake wa Twitter Bw. Zitto alisema: ”Ninaendelea vizuri. Ilikuwa ajali mbaya sana. Namshukuru Allah kwa kutuponya. Shukran Wahudumu wa Kituo …

Read More »