Tag Archives: nigeria

Nigeria: Miaka 50 baada ya vita ya Biafra

Zaidi ya watu milioni moja waliuawa katika vita vya Biafra vilivyodumu kwa miezi 30. Athari za vita hivyo bado zingalipo hadi hii leo, ingawa kila kitu hakipo kama inavyoonekana, miaka 50 tangu kumalizika kwa vita hivyo. Uchenna Chikwendu huzungumza kwa nadra kuhusu vita vya Biafra. Chikwendu mwenye umri wa miaka …

Read More »