Tag Archives: nida

Watu wasiojulikana waiba vifaa vya NIDA Arusha

Watu wasiojulikana wameiba mashine zote za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) zilizokuwa katika kituo kidogo cha NIDA katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo, kituo hicho kimefungwa kwa leo na Polisi wameanza mchakato wa kuwasaka waliohusika na wizi huo. Mkuu wa wilaya …

Read More »