Tag Archives: newala

Mbunge wa Newala Vijijini afariki dunia

Mbunge wa Newala Vijijini, Rashidi Ajali Ahkbar amefariki dunia leo Januari 15, 2020 Mnazi Mmoja mkoani Lindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoani Mtwara, Selemani Sankwa, taarifa za mazishi zitatolewa baada ya makubaliano ya familia na Ofisi za Bunge. CCM kimesema kinautambua …

Read More »