Tag Archives: NECTA

NECTA yatoa onyo kwa watakaovuruga mitihani

Watahiniwa milioni moja,elfu ishirini nne na mia saba wanatarajiwa kuanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya msingi kuanzia kesho Oktoba 7 hadi 8, 2020 na watahiniwa 974,532 watafanya mitihani hiyo kwa lugha ya kuswahili huku watahiniwa  49,475 watafanya kwa lugha ya kingereza. Akizungumza na vyombo vya habari Katibu Mtendaji wa Baraza …

Read More »

Watahiniwa 333 wafutiwa matokeo

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na maarifa QT, kidato cha pili  na darasa la nne ambayo iliyofanyika mwezi Novemba mwaka jana,huku hilo  likifuta matokeo yote ya watahiniwa 333 waliofanya udanganyifu katika mtihani . Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji NECTA Charles Msonde …

Read More »