Tag Archives: NEC

NEC Yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetupilia mbali mapingamizi yote yaliokuwa yamewekwa na Mgombea wa Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu dhidi ya Mgombea wa urais wa CCM Dkt John Magufuli na Mgombea Urais wa CUF Ibrahim Lipumba. Ambapo tume hiyo imesema kuwa wagombea hao wamefuata …

Read More »