Tag Archives: Ndugai: Hakuna Kubebana…. Ukiwa Mbunge Bubu Umekwisha

Ndugai: Hakuna Kubebana…. Ukiwa Mbunge Bubu Umekwisha

Spika mteule wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amewataka wabunge waliochaguliwa na wananchi kutokaa kimya ndani ya Bunge kwani wananchi wamewachagua kwa ajili ya kuwasemea changamoto na kutafutiwa ufumbuzi. Akizungumza baada ya kuteuliwa kuwa Spika wa Bunge, Ndugai amesema, wabunge wanapaswa kujua walichokifuata ndani …

Read More »