Tag Archives: ndege yaanguka

Hakuna aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema hakuna mtu aliyesalimika katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi. Zelensky amesema amesikitishwa na ajali hiyo na ametuma salamu za pole kwa ndugu na marafiki wa abiria wote pamoja na wafanyakazi wa ndege hiyo. Zelensky amesema Ukraine inachunguza mazingira yaliyosababisha ajali hiyo pamoja na vifo. …

Read More »