Tag Archives: Nchi Za Afrika Zahimizwa Kushikamana Ili Kuondokana Na Utegemezi

Nchi Za Afrika Zahimizwa Kushikamana Ili Kuondokana Na Utegemezi

Nchi za Afrika zimehimizwa kushikamana katika masuala ya maendeleo, biashara na uwekezaji ili kuondokana na utegemezi jambo litakaloliwezesha Bara hilo kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mataifa mengine ya nje kwa kisingizio cha demokrasia na haki za binadamu. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kiongozi wa …

Read More »