Tag Archives: Nchi 15 Zaruhusiwa Kuleta Waangalizi Wa Uchaguzi Mkuu 2020

Nchi 15 Zaruhusiwa Kuleta Waangalizi Wa Uchaguzi Mkuu 2020

Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba, 2020 baada ya Balozi hizo kuwasilisha maombi na kufuata taratibu. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam …

Read More »