Tag Archives: Nacte

Hawa hapa Wanafunzi bora kidato cha nne

Leo January 9, 2020 Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini limetangaza matokeo Kidato cha nne 2019 yakionyesha Watahiniwa 340,914 sawa na asilimia 80.65 ya watahiniwa 422,722 wamefaulu mitihani yao. Katika matokeo hayo wanafunzi 10 bora Kitaifa kati yao sita wanatoka Shule ya Sekondari Francis Girls ya Jijini Mbeya, hii hapa list ya …

Read More »