Tag Archives: mwili

Mwili wa aliyetumbukia mto wami waokolewa

Tayari mwili wa Dereva wa Lori ambaye alitumbukia Mto Wami, Chalinze baada ya Lori kufeli breki umeopolewa na Jeshi la Uokoaji na Zimamoto wakishirikiana na wavuvi, Timu ya Uokoaji imesema mwili umeharibika kwakuwa umekaa chini ya maji kwa zaidi ya siku tatu tangu Ijumaa June 05. Mbunge wa Chalinze Ridhiwani …

Read More »