Tag Archives: mwarobaini NIMR

Profesa Mgaya: Mwarobaini si salama kwa kujifukiza

TANGU kuingia kwa ugonjwa wa Covid- 19 ulioanzia nchini China, Desemba mwaka jana, watafiti mbalimbali duniani wameendelea kufanya tafiti ili kubaini dawa au kinga ya ugonjwa huo. Miongoni mwa tafiti zinazoendelea ni pamoja na zile zinazofanywa hapa nchini, ikiwamo inayofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu …

Read More »