Tag Archives: Mwanamke wa Marekani anaetakiwa kufariki kabla ya December 9

Mwanamke wa Marekani anaetakiwa kufariki kabla ya December 9

MAREKANI. Lisa Montgomery, Mfungwa Mwanamke Kansas Marekani ambae anatakiwa awe amefariki kabla ya December 9 mwaka huu ikiwa ni hukumu ya kwanza ya kifo kutolewa kwa Mwanamke Nchini Marekani kwa miaka inayokaribia sabini. Lisa amehukumiwa kunyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kumnyonga Mwanamke Mamzito wa Missouri mwaka 2004 nchini …

Read More »