Tag Archives: Mwalimu Mkuu akamatwa kwa kumtaka kingono Mwanafunzi

Mwalimu Mkuu akamatwa kwa kumtaka kingono Mwanafunzi

TAKUKURU Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete iliyoko Wilayani Mbarali, Adelhard Mjingo, (44), kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 kwa ahadi ya kuwa angemsaidia kufaulu mitihani. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini …

Read More »