Tag Archives: Mvua Yaua Watu 12 Jijini Dar es Salaam

Mvua Yaua Watu 12 Jijini Dar es Salaam

Watu kumi na wawili (12) wameripotiwa kufa kutokana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam, na wengine watano wa familia moja wakiripotiwa kufa kutokana na ajali ya moto. Akizunguza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar …

Read More »