Mtoto mmoja ambaye hajafahamika jina wala Makazi mwenye umri unaokadiriwa kuwa ni miaka 7 amefariki dunia na wengeine 23 kujeruhiwa katika ajali ya basi Kampuni ya Frester linalofanya safari kati ya Kahama – Musoma lenye namba za usajili namba T 965 DST lililokuwa likiendeshwa na dereva ambaye hajafahamika jina mara …
Read More »