Tag Archives: muroto

RPC Dodoma aelezea Mbowe kuvamiwa na kuvunjwa mguu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amevamiwa na watu watatu waliomkanyaga na kumvunja mguu wake wa kulia Hayo ameyabainisha mapema leo Juni 9, 2020, wakati akizunggumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio na kusema …

Read More »